Kenya Yatamba KGL Millennium Half Marathon, Accra

Kenya Yatamba KGL Millennium Half Marathon, Accra

Wanariadha wa Kenya walifagia medali zote katika mbio za mwaka huu za nusu marathoni za KGL Millennium mjini Accra, Ghana, na kuweka rekodi mpya katika mbio za wanaume na wanawake. Katika mbio za wanaume, Gilbert Kiprotich alinyakua taji ya mwaka huu kwa kutumia muda mpya wa saa 1 na sekunde 59, akifuatwa na Alfred Cherono […]

Read More