Khadija Kopa Asema Wakosoaji Wake Mtandaoni Ni Watu Wasiokuwa na Hela
Malkia wa Taarab Khadija Kopa ameamua kutoa kauli kali kuhusu wakosoaji wake mitandaoni. Akiwa mgeni katika kipindi cha Tashtiti, Khadija Kopa amesema kuwa haumizwi na kitendo cha watu kumchamba kwenye mitandao ya kijamii, akieleza kuwa mara nyingi wanaofanya hivyo ni watu wasiokuwa na uwezo kifedha. Kwa mujibu wake, wengi wao huishi maisha magumu majumbani mwao […]
Read More