BI KHADJA KOPA AMKINGIA KIFUA ZUCHU KWA UANDISHI WA NYIMBO
Mama mzazi wa msanii Zuchu, Bi Khadja Omar Kopa amemkingia kifua binti yake huyo kutokana na kauli yake aliyotoa juzi kati kuwa asishindanishwe na wasanii wa kike kwenye uandishi wa nyimbo kwani itakuwa ni kuwaonea. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni Bi Kopa amekiri kuwa Zuchu ni mwandishi mzuri wa nyimbo na haoni wa kushindana nae […]
Read More