Khalifah Aganaga amshambulia Sheebah Karungi kwa kumvunjia heshima
Mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka nchini Uganda, Khalifah Aganaga amemtolea uvivu msanii Sheebah Karungi akimtaja kuwa na roho mbaya. Aganaga anasema alishtuka baada ya Sheebah kushindwa kumualika kwenye tamasha lake katika Hoteli ya Serena jijini Kampala hivi karibuni licha ya kumkingia kifua alipokimbiwa na meneja wake, Jeff Kiwa. “Ulikuja kwangu kipindi meneja wako alikukimbia, […]
Read More