KHALIGRAPH JONES AACHIA TRACKLIST YA ALBUM YAKE MPYA

KHALIGRAPH JONES AACHIA TRACKLIST YA ALBUM YAKE MPYA

Rapa Khaligraph Jones amewapa mashabiki wake orodha ya nyimbo zitakazopatikana kwenye album yake mpya ya “Invisible Currency” (Sarafu isiyoonekana) anayoitarajia kuitoa hivi karibuni. Kupitia ukurasa wake wa instagram ameachia tracklist ya album yake hiyo mpya ambapo ina jumla ya nyimbo 17 huku ikiwa na collabo 10 pekee. Hitmaker huyo wa “Luku” amewapa mashavu wakali kama […]

Read More