INVISIBLE CURRENCY ALBUM YA KHALIGRAPH JONES YATUMIKA KAMA COVER YA NEW YORK TIMES BILLBOARD YA NCHINI MAREKANI

INVISIBLE CURRENCY ALBUM YA KHALIGRAPH JONES YATUMIKA KAMA COVER YA NEW YORK TIMES BILLBOARD YA NCHINI MAREKANI

Rapa Khaligrph Jones anazidi kuchana mbuga kimataifa hii baada ya cover ya album yake mpya iitwayo “Invisible Currency” kutumika kama art work ya chati  ya New York Times  Billboard ya nchini Marekani. Kupitia ukurasa wake wa instagram Papa Jones amewataarifu mashabiki zake  taarifa hiyo njema kwa kushare picha ikionyesha picha yake ambayo ilikuwa imechapisha kwenye […]

Read More