Mwanamuziki Kidis Afichua Siri ya Utajiri Wake: “Nauza Bedsheets na Makaa”

Mwanamuziki Kidis Afichua Siri ya Utajiri Wake: “Nauza Bedsheets na Makaa”

Mwanamuziki, Kidis, anayefahamika kwa nyimbo zake maarufu zilizochangia pakubwa kukuza muziki wa Kenya, amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu hali yake ya kifedha na mikakati anayotumia kuhakikisha anajimudu kimaisha nje ya tasnia ya muziki. Katika mahojiano ya hivi majuzi, Kidis alieleza kuwa kwa sasa ana utajiri unaokadiriwa kuwa shilingi 700,000. Hata hivyo, alikiri kuwa kiwango […]

Read More