KANYE WEST ANUNUA MJENGO KARIBU NA NYUMBA YA KIM KARDASHIAN

KANYE WEST ANUNUA MJENGO KARIBU NA NYUMBA YA KIM KARDASHIAN

Staa wa muziki wa Hiphop kutoka nchini Marekani Kanye West ni kama amekubali yaishe kuhusu sakata la talaka na Kim Kardashian, ameona hawezi kumrudisha na sasa ameamua kumsogelea karibu ili apate nafasi ya kushirikiana naye kwenye malezi ya watoto wao. Tovuti ya Daily Mail imeripoti kwamba Kanye West amenunua nyumba yenye thamani ya dolla millioni […]

Read More