Baba wa Kimani Mbugua Akiri Mwanawe Alijitoa Uhai 

Baba wa Kimani Mbugua Akiri Mwanawe Alijitoa Uhai 

Baba mzazi wa mtangazaji wa zamani wa Citizen TV, Kimani Mbugua, amethibitisha kuwa mwanawe alijitoa uhai akiwa katika kituo cha rehab mjini Mombasa. Akizungumza na waandishi wa habari, baba huyo amesema kuwa hana lawama kwa mtu yeyote kufuatia kifo cha mwanawe, akieleza kuwa familia imepokea msiba huo kwa huzuni kubwa lakini kwa moyo wa kuvumilia. […]

Read More