Noti Flow afunguka kuhusu afya ya mpenzi wake King Alami

Noti Flow afunguka kuhusu afya ya mpenzi wake King Alami

Rapa Noti Flow ameweka wazi namna mpenzi wake King Alami anaendelea hospitali mara baada ya kupata majeraha mabaya alipojirusha kutoka kwa jumba la ghorofa 7. Kupitia instastory yake amesema mrembo huyo anaendelea kupata nafuu na huenda madaktari wakamruhusu kurudi nyumbani hivi karibuni. Lakini pia amewataka mashabiki kumpa nafasi King Alami pindi atakaporejea kwenye mitandao ya […]

Read More
 Noti Flow ajutia kuvunja uhusiano wake na King Alami

Noti Flow ajutia kuvunja uhusiano wake na King Alami

Mwanamuziki mwenye utata nchini Noti Flow amekiri kuumia na kujutia kitendo cha kuvunja mahusiano yake na aliyekuwa mpenzi wake, King Alami. Kupitia ukurasa wake wa instagram Noti flow amesema mahusiano yao hayangevunjika huenda tukio la king alami kutaka kujiua kwa  kujirusha kutoka kwa jumba la ghorofa tano alingefanyika. Aidha amefichua kuwa watu wengi mitandaoni wanamlaumu […]

Read More
 Kng Alami akiri kutamani penzi la mpenzi wake wa zamani Noti Flow

Kng Alami akiri kutamani penzi la mpenzi wake wa zamani Noti Flow

Mrembo King Alami amekiri kulitamani penzi la mpenzi wake wa zamani msanii Noti Flow ikiwa ni miezi kadhaa imepita tangu jini mkata kamba alipoingilia mahusiano yao na kuwatenganisha. Kupitia video aliyochapisha kwenye ukarasa wake wa Instagram amesikika akijutia kuliacha penzi la Noti Flow kwa kusema kwamba tangu mahusiano yao yalipovunjika hajawahi pata furaha maishani kutokana […]

Read More