T.I afunguka kuhusu mienendo ya mwanaye King Harris

T.I afunguka kuhusu mienendo ya mwanaye King Harris

Rapa kutoka nchini Marekani T.I. amefunguka kuhusu mwenendo wa mwanaye King Harris ambaye kipindi cha hivi karibuni amekuwa akikosolewa kwa kuwa na tabia mbaya mbele ya Jamii. Kwenye mahojiano mapya na Shannon Sharpe wiki hii, T.I. amemzungumzia King Harris na kumtetea kwa kusema “Sisi kama wazazi, kati ya watoto wetu wote, tunao watoto waovu na […]

Read More