ROSA REE AFUNGA NDOA YA SIRI NA MPENZI WAKE WA MUDA MREFU

ROSA REE AFUNGA NDOA YA SIRI NA MPENZI WAKE WA MUDA MREFU

Female rapper kutoka nchini Tanzania Rosa Ree amethibitisha kufunga ndoa ya kimya kimya na mpenzi wake wa muda mrefu alie mtambulisha kama King Petrousse huko Moshi, Kilimanjaro.. Rosa Ree ametumia ukurasa wake wa Instagram kushare mfululizo wa picha zenye ujumbe unaoashiria kuwa sasa ameingia rasmi kwenye ndoa akiwa wamevalia mavazi ya kitamaduni yanayovaliwa kwenye ndoa […]

Read More