Kings Music Watoa Tamko Kuhusu Kuondolewa kwa Video ya King Kiba
Uongozi wa Kings Music Records wametoa tamko rasmi kuhusu tukio la kuondolewa kwa video ya wimbo maarufu wa King Kiba, Ubuyu, kutoka kwenye mtandao wa YouTube masaa machache tu baada ya kupandishwa tarehe 3 Julai, Alhamisi iliyopita. Kwa mujibu wa tamko hilo, uondoaji wa video hiyo ulitokana na vitendo vya watu wasioidhinishwa waliotumia mfumo wa […]
Read More