Mataifa ya Afrika Mashariki Kushirikiana Kiusalama kwa CHAN 2025

Mataifa ya Afrika Mashariki Kushirikiana Kiusalama kwa CHAN 2025

Mataifa ya Afrika Mashariki yameafikiana kushirikiana kwa karibu katika kuhakikisha usalama wakati wa mashindano ya Kombe la Mataifa Bingwa Afrika kwa Wachezaji wa Ndani ya Nchi (CHAN) yatakayofanyika mwezi ujao. Akizungumza kuhusu maandalizi ya mashindano hayo, Waziri wa Usalama wa Taifa Kipchumba Murkomen alisema kuwa mashauriano ya kina tayari yanaendelea kati ya Kenya, Uganda, na […]

Read More