KLONS MELODY AFUNGUKA KUTOFAIDI NA MAPATO NYIMBO ZAKE SALDIDO
Aliyekuwa msanii wa Saldido International Klones Melody amefunguka tusiyoyajua kuhusu muziki wake akiwa chini ya lebo hiyo. Katika mahijiano na Presenter Ali, Klones amesema hajawahi pata mapato ya nyimbo zake zote alizofanya akiwa chini lebo ya saldido international i ayomilikiwa na Willy Paul. Amesema licha ya kumueleza Willy Paul kuhusu suala la miraba ya nyimbo […]
Read More