MKEWE WA KOBE BRYANT AFIDIWA DOLLAR MILLIONI 16
Vanessa Bryant ambaye ni mke wa marehemu Kobe Bryant, amepatiwa fidia ya ($16 million) kufuatia tukio la kusambaza picha za miili ya marehemu mtandaoni baada ya ajali ya helikopta ambayo ilichukua uhai wa mumewe, binti yake pamoja na wengine 9. Mahakama imejiridhisha kwamba Kitengo cha Zimamoto na ukoaji pamoja na Idara ya polisi wadogo Jijini […]
Read More