Kodak Black Apewa Ufunguo wa Jiji la Pompano Beach kwa Mchango Wake kwa Jamii
Rapa maarufu kutoka Marekani, Kodak Black, amepata heshima ya kipekee kwa kukabidhiwa Ufunguo wa Jiji la Pompano Beach (Key to the City) katika hafla maalum iliyofanyika Jumanne, Julai 8, 2025. Tukio hilo limeandaliwa kama njia ya kutambua mchango mkubwa wa msanii huyo kwa jamii ya mji alikozaliwa na kukulia – Pompano Beach, Florida. Uongozi wa […]
Read More