JOSE CHAMELEONE MBIONI KUACHIA COLLABO YAKE NA KOFFI OLOMIDE

JOSE CHAMELEONE MBIONI KUACHIA COLLABO YAKE NA KOFFI OLOMIDE

Bosi wa lebo ya muziki ya Leone Island Jose Chameleone amekuwa jamhuri ya demokrasi ya kongo kwa kipindi cha wiki moja sasa. Goods ni kuwa Chameleone ameonekana kuingia studio na nguli wa muziki barani afrika Koffi Olomide jambo linalotafsiri kuwa huenda kukawa na kazi ya pamoja baina ya wawili hao hivi karibuni. Duru za kuaminika zinasema wawili hao walitumbuiza pamoja mapema wiki hii huko Kinshasa ambapo walipiga shoo ya kufa mtu ambayo iliwavutia watu wengi zaidi. Jose chameleone anajiunga na wasanii wa afrika mashariki Diamond platinumz na Nandy ambao tayari wamefanya kazi na Koffi olomide ambaye ni moja kati ya wasanii wakubwa jamhuri ya demokrasia ya congo

Read More
 KOFFI OLOMIDE AFUTIWA MASHTAKA YA KUWASHAMBULIA KIGONO DANCERS WAKE.

KOFFI OLOMIDE AFUTIWA MASHTAKA YA KUWASHAMBULIA KIGONO DANCERS WAKE.

Mahakama ya rufaa nchini Ufaransa imemuondolea Koffi Olomide mashtaka ya kuwashambulia kingono dancers wake wanne, lakini imemhukumu kwa kuwashikilia pasipo ridhaa yao. Mahakama hiyo ya huko Versailles, haijamkuta Koffie na hatia ya ubakaji ambapo jaji amedai kuwa ushahidi wa walalamikaji ulikuwa unakinzana na wenye kubadilikabadilika. Hata hivyo imemhukumu kwa kuwanyima uhuru dancers hao kwa kuwaweka kwenye nyumba kuanzia mwaka 2002 hadi 2006.Dancers hao walidaiwa kufungiwa kwenye chumba na kusimamiwa na watu wawili wa Koffi Olomide muda wote na huku mapazia yakiwa yamefungwa. Muimbaji huyo ambaye jina lake halisi ni Antoine Agbepa Mumba, amekuhumiwa miezi 18 ambayo hata hivyo hatokwenda jela (suspended sentence) na kuwalipa fidia kwani ameamriwa awalipe kila mmoja faini ya kuanzia shilingi milioni 1.3 hadi milioni 4.1za Kenya Mahakama hiyo imeitengua hukumu ya mwaka 2019 iliyomkuta na hatia staa huyo wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo ya kumbaka dancer wake wa kike aliyekuwa na miaka 15. Mwendesha mashtaka wa serikali alitaka muimbaji huyo ahukumiwe kifungo cha miaka minane. Mwanasheria aliyekuwa akiwawakilisha watatu kati ya wanawake hao amesema hukumu hiyo lazima itakuwa imewaangush

Read More