JOSE CHAMELEONE MBIONI KUACHIA COLLABO YAKE NA KOFFI OLOMIDE
Bosi wa lebo ya muziki ya Leone Island Jose Chameleone amekuwa jamhuri ya demokrasi ya kongo kwa kipindi cha wiki moja sasa. Goods ni kuwa Chameleone ameonekana kuingia studio na nguli wa muziki barani afrika Koffi Olomide jambo linalotafsiri kuwa huenda kukawa na kazi ya pamoja baina ya wawili hao hivi karibuni. Duru za kuaminika […]
Read More