Gor Mahia Yapiga Kalamu Safu Yote ya Ufundi Kufuatia Msimu Mgumu
Mabingwa wa zamani wa Ligi Kuu ya FKF, Gor Mahia, wamefuta safu nzima ya ukufunzi, ikiwemo maafisa wa usalama wa timu, katika hatua ya kuimarisha benchi la kiufundi kabla ya kuanza kwa msimu mpya. Kupitia taarifa rasmi, uongozi wa kilabu hicho umesema kuwa uamuzi huo umetokana na tathmini ya kina kuhusu utendaji wa timu msimu […]
Read More