Manchester United watia nia ya kumsajili Kolo Muani

Manchester United watia nia ya kumsajili Kolo Muani

Manchester United wanatayarisha ofa ya billioni 7.9  za Kenya kwa ajili ya kunasa saini ya mshambuliaji wa Eintracht Frankfurt Randal Kolo Muani. Ripoti zinadai kwamba United hawako pekee yao kwenye mbio za kunasa saini ya Mshambuliaji huyo wanakabiliwa na ushindani kutoka kwa Bayern Munich Hata hivyo Kolo Muani ambaye amejiunga na Frankfurt akitokea Nantes majira […]

Read More