KILLY WA KONDE GANG WORLDWIDE ADOKEZA UJIO WA EXTENDED PLAYLIST YAKE
Nyota wa muziki wa bongofleva Killy ametangaza kuja na Extended Playlist ‘EP’ yake ,aliyoipa jina la ‘The Green Light ‘ inayotarajiwa kutoka ndani ya mwaka huu. Kupitia ukurasa wa instagram Hitmaker huyo wa ngoma ya ‘Ni Wewe’ amesema ‘EP’ hiyo ina jumla ya nyimbo 5 ,huku akiwa amewashirikisha wasanii wawili ambao ni ibraah kutoka Konde […]
Read More