Harmonize Atoa Wito kwa Wasanii Watumie Singeli Kuelimisha Jamii

Harmonize Atoa Wito kwa Wasanii Watumie Singeli Kuelimisha Jamii

Mwanamuziki nyota kutoka Tanzania, Harmonize, amewataka wasanii kutumia muziki wa Singeli kuibua mijadala ya kijamii na kupeleka ujumbe wenye maana kwa jamii badala ya kuishia kwenye burudani ya kawaida. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Harmonize alisema kuwa Singeli ni mtindo wa muziki wenye nguvu kubwa ya ushawishi na unastahili kutumiwa kuelimisha, kukuza maadili, na kuunganisha […]

Read More
 Akaunti ya Instagram ya Konde Gang Yafungwa Ghafla

Akaunti ya Instagram ya Konde Gang Yafungwa Ghafla

Akaunti rasmi ya Instagram ya lebo ya muziki ya Konde Gang, inayomilikiwa na msanii nyota Harmonize, imefungwa ghafla, jambo lililozua maswali mengi miongoni mwa mashabiki na wadau wa muziki. Mpaka sasa, hakuna taarifa rasmi iliyotolewa kuhusu sababu ya kufungwa kwa ukurasa huo, ambao ulikuwa na zaidi ya wafuasi milioni 2 na ulikuwa ukitumiwa kwa matangazo […]

Read More
 Harmonize Aendelea Kuumia Kimapenzi, Aandika Machungu Snapchat

Harmonize Aendelea Kuumia Kimapenzi, Aandika Machungu Snapchat

Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Harmonize, anaonekana kupitia kipindi kigumu upande wa mahusiano licha ya kuwa na jina kubwa kwenye tasnia ya muziki na utajiri wa kutosha. Kupitia akaunti yake ya Snapchat, Harmonize amemwaga hisia zake kwa uchungu kuhusu mpenzi wake ambaye bado hajawa tayari kumkubali kikamilifu kwenye maisha yake. Katika ujumbe wake, Harmonize alieleza […]

Read More
 Harmonize Atamani Kuwa Baba, Aonyesha Mradi Mkubwa wa Ujenzi

Harmonize Atamani Kuwa Baba, Aonyesha Mradi Mkubwa wa Ujenzi

Msanii nyota wa Bongo Fleva, Harmonize, ameonesha hatua nyingine kubwa katika maisha yake ya kifedha na ya binafsi baada ya kuposti kwenye Instagram Story picha ya mjengo mkubwa unaoendelea kujengwa, ishara ya mafanikio na uthibitisho wa ndoto alizowahi kuzielezea huko nyuma. Picha hiyo, iliyopambwa na maneno “My future so bright, I need a son now”, […]

Read More
 KILLY AWAOMBA MASHABIKI WA KENYA WAMSAIDIE KUPATA ALIYEONDOA VIDEO YA WIMBO WAKE YOUTUBE

KILLY AWAOMBA MASHABIKI WA KENYA WAMSAIDIE KUPATA ALIYEONDOA VIDEO YA WIMBO WAKE YOUTUBE

Msanii wa Bongofleva, Killy amewaomba mashabiki wake waliyopo nchini Kenya kumsaidia kumpata Mutisya Munyithya ambaye ndiye ameipiga copy right YouTube video ya wimbo wake, Ni Yeye ambao amemshirikisha Harmonize. Mwimbaji huyo wa Konde Music Worldwide amewaomba mashabiki wanaomfahamu wawasiliane naye kwa namba +255 65 289 2317. “Mashabiki zangu pendwa poleni sana kwa maumivu ya kuondolewa […]

Read More