Msanii wa Jamaica Konshens Aomboleza Kifo cha Raila Odinga, Awapa Pole Wakenya

Msanii wa Jamaica Konshens Aomboleza Kifo cha Raila Odinga, Awapa Pole Wakenya

Staa wa muziki kutoka Jamaica, Konshens, ameungana na mashabiki zake kuomboleza kifo cha aliyekuwa waziri mkuu wa Kenya Raila Amollo Odinga. Kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), Konshens ametuma salamu za rambirambi kwa wananchi wa Kenya, akiwatia moyo katika kipindi hiki kigumu na kuwaomba wabaki imara licha ya huzuni iliyoikumba nchi hiyo ambayo imekuwa […]

Read More
 Ngoma ya  Harmonize ‘Weed Language’ yarejeshwa Youtube

Ngoma ya Harmonize ‘Weed Language’ yarejeshwa Youtube

Ngoma ya ‘Weed language’ ya staa wa muziki wa Bongo Fleva , Harmonize imerejeshwa tena katika mtandao wa Youtube wa msanii Konshens masaa kadhaa yaliyopita. Harmonize jana kupitia ukurasa wake wa kijamii wa instagram aliahidi atauondoa wimbo huo kwenye mitandao yote ya kijamii baada ya kukiri kuwa maudhui ya wimbo huo yanakiuka maadili, mila na […]

Read More