Willy Paul Aitaka KPLC Kufidia Uharibifu wa Studio Yake Baada ya Hitilafu ya Umeme
Mwanamuziki wa Kenya, Willy Paul, ameibua hasira mitandaoni dhidi ya Shirika la Umeme nchini (KPLC) baada ya kudai kuwa vifaa vyake vyote vya studio vimeungua kutokana na hitilafu ya umeme. Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, Willy Paul alitoa ujumbe mkali kwa KPLC, akisisitiza kuwa wanapaswa kumlipa fidia kwa hasara aliyopata. “KPLC YOU MUST […]
Read More