KRG THE DON AFUNGUKA CHANZO CHA KUACHANA NA MKE WAKE.

KRG THE DON AFUNGUKA CHANZO CHA KUACHANA NA MKE WAKE.

Mwanamuziki wa dancehall nchini Krg The Don amefunguka kwa mara ya kwanza juu ya tuhuma za kutalikiana na mke wake. Kulingana na Krg waliachana na mke wake kwa sababu kuna baadhi ya watu ambao waliingilia ndoa yao na kumfanya mke wake huyo kuingia na kiburi. Mwanamuziki huyo ambaye amekuwa akijinasibu kuwa ni tajiri amesema baada […]

Read More