KRG THE DON AONYESHA JEURI YA PESA ZAKE
Mwanamuziki wa dancehall nchini Krg The Don ameamua kutuonyesha jeuri ya pesa zake baada ya kutoa zawadi ya shilllingi laki 6 kwa kundi la Mbuzi Gang. Hitmaker huyo “Giddem” ametumia ukurasa wake wa instagram kujinasibu kwa kupost video akihesabu shillingi laki sita za Kenya ambazo amezitaja kuwa ni zawadi kwa wasaniii wa kundi la Mbuzi […]
Read More