KRG The Don Akanusha Kufulia Kiuchumi
Msanii na mfanyabiashara KRG The Don amejitokeza hadharani kupinga uvumi unaosambaa mtandaoni kwamba amefulia kiuchumi, akisisitiza kuwa madai hayo hayana ukweli wowote. Kuptia video aliyochapiha mtandaoni, KRG amesema kuwa utajiri wake si wa kubahatisha, bali umetokana na kazi zake nyingi alizofanya kwa muda mrefu katika muziki, biashara na uwekezaji mbalimbali. Msanii huyo, amesisitiza kuwa hakuna […]
Read More