MAMA MZAZI WA KIM KARDASHIAN AKANUSHA KUVUJISHA MKANDA WA NGONO WA BINTI YAKE
Mwanamama Kris Jenner amekanusha kuhusika kwenye biashara ya kusambaza mkanda wa ngono ambao ulimuhusisha binti yake Kim Kardashian na Ray J mwaka 2007. Kris Jenner amekanusha tuhuma hizo ambazo zilitolewa na Ray J wiki hii ambaye alidai kwamba video ile ya ngono haikuvuja bali ilikuwa ni makubaliano ya Kibiashara baina yake, Kim Kardashian pamoja na […]
Read More