MBOSSO ATHIBITISHA UJIO WA COLLABO YAKE NA PRODYUZA KRIZ BEATZ KUTOKA NIGERIA
Nyota wa muziki wa Bongofleva Mbosso ameunza mwaka 2022 kwa kuzitafuta ladha za kimataifa zaidi hii ni baada ya kuingia studio na mtayarishaji mkubwa wa muziki barani Afrika Kriz Beatz kutoka nchini Nigeria. Mbosso ambaye yupo nchini Nigeria na Diamond Platnumz amepost kupitia InstaStory yake akiwa studio na Kriz Beatz huku ikionesha wazi kabisa kuna […]
Read More