Malenga mwenye asili ya wa Sudan Kusini akerwa na ubaguzi nchini Kenya
Malenga maarufu mwenye asili ya Sudan, Ktwo amekanusha madai kuwa raia wa Sudan Kusini wanafadhiliwa na serikali yao kuishi nchini Kenya. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Ktwo ameamua kutoa ya moyoni kwa kusema kuwa madai hayo hayana ukweli wowote ikizingatiwa kuwa raia wa Sudan Kusini wanajitegemea wenyewe bila usaidizi wowote wa serikali. Aidha amesema kasumba […]
Read More