Chifu wa Kuna Kuna John Ogilo alamba shavu la ubalozi Huduma Center Kisumu
Chifu wa miondoko ya kisasa nchini John Ogilo Migun, ameingia ubia wa kufanya kazi na Huduma Center Kenya mjini Kisumu ambapo anatarajiwa kutumia ushawishi wake kusakata densi kutangaza huduma za taasisi hiyo. Kulingana na video iliyochapishwa na Kituo cha Huduma cha Kisumu kwenye mitandao yake ya kijamii, Bwana Ogilo, amesikika akitoa wito kwa umma hasa […]
Read More