MSANII CHIPUKIZI NCHINI KENYA ATUHUMIWA KUIBA MDUNDO WA SANAIPEI TANDE
Msanii chipukizi nchini Kenya, Kush Paula amejipata pabaya mtandaoni mara baada ya kutuhumiwa kuhusika kwenye wizi wa mdundo wa wimbo uitwao “Mdaka Mdakiwa” wake Sanaipei Tande. Walimwengu kwenye mitandao ya kijamii hasa Instagram wanadai kwamba mrembo huyo alisample mdundo wa wimbo huo na kisha akautumia kwenye wimbo wake uitwao Dodo ambao kwa asilimia 100 unafanana […]
Read More