Kush Tracy Aeleza Namna Pombe Ilivyompotezea Mwelekeo Kwenye Muziki

Kush Tracy Aeleza Namna Pombe Ilivyompotezea Mwelekeo Kwenye Muziki

Mwanamuziki wa Kenya, Kush Tracy, amefunguka kuhusu maisha yake ya zamani kabla ya kuacha pombe, akieleza jinsi ulevi ulivyompeleka katika hali ya kupoteza mwelekeo wa maisha na muziki wake. Akizungumza katika mahojiano na kipindi cha NTV Elevate, Kush Tracy alikiri kuwa hakuwahi kutumbuiza jukwaani akiwa akili timamu. “Sikuwahi kuimba nikiwa sober. Nilihitaji kitu cha kunipa […]

Read More