ALIYEIBA MBWA WA LADY GAGA ATUPWA JELA MIAKA MINNE
Mahakama ya California imemuhukumu kifungo cha miaka minne mtu mmoja kati ya watatu walioshtakiwa kwa kupora mbwa aina ya Kifaransa wa mwanamuziki maarufu duniani, Lady Gaga. Jaylin Keyshawn White alikiri kuwa sehemu ya genge lililompiga risasi Ryan Fischer wakati akiwafanyisha mazoezi mbwa watatu mjini Hollywood Februari mwaka 2021. Katika usikilizaji wa kesi hiyo jijini Los […]
Read More