LADY MARIAM ATUHUMIWA KUKIMBIA NA PESA ZA DADAKE
Msanii kutoka nchini Uganda Lady Mariam anayejulikana sana na wimbo wake maarufu uitwao “Tindatine” amerudi tena kwenye headlines. Msanii huyo anatuhumiwa na dadake mkubwa, Kirungi Swabra kwa kukimbia na pesa zake alizozichuma kwa bidii. Swabra ambaye anafanya kazi kama mjakazi katika miliki za Kiarabu alitaka kutumia pesa hizo kununua nyumba huko Mityana nchini Uganda. Kulingana […]
Read More