Lady Mariam akanusha madai ya kustaafu muziki

Lady Mariam akanusha madai ya kustaafu muziki

Msanii mkongwe kwenye muziki nchini uganda Lady Mariam amepuzilia mbali madai ya kuchukua mapumziko kwenye muziki wake. Hitmaker huyo wa “Tindatine” amesema bado anajishughulisha na masuala ya uimbaji ila kwa sasa anahitaji mtu ambaye atawekeza kwenye muziki wake kwa kuwa muziki umebadilika pakubwa. “Sijawahi kuacha muziki kama watu wengi wanavyodhani. Bado naimba lakini nahitaji mtu […]

Read More