NADIA MUKAMI AMTAMBULISHA MSANII WAKE MPYA CHINI SEVENS HUB CREATIVE
Uongozi wa lebo ya Sevens Hub Creative umemtambulisha msanii wao mpya. Lebo hiyo inayomilikiwa na msanii Nadia Mukami imemtambulisha msanii aitwaye latinoh mwenye umri wa miaka 21 kutoka Likoni, Mombasa kuwa msanii mpya chini ya lebo hiyo Kupitia ukurasa wake wa Instagram Nadia Mukami amemtambulisha msanii huyo kwa kuandika ujumbe wa kumsifia akisema kuwa uwezo […]
Read More