Lauren Pisciotta Aibuka na Madai Mapya Dhidi ya Kanye West
Aliyekuwa Msaidizi wa rapa Kanye West, Lauren Pisciotta ameibuka tena na tuhuma nzito za unyanyasaji dhidi ya rapa huyo na safari hii amedai kuwa Kanye alimfanyia mambo mengi mazito kuliko hata yale aliyowahi kuyaeleza mwaka jana. Katika malalamiko mapya Pisciotta anadai Kanye alimfanyia mambo mengi mabaya, ikiwemo shambulio la ngono, unyanyasaji wa kijinsia, uviziaji na […]
Read More