Lava Lava Alalamika Kufanyiwa Fitina na Wasanii Wenzake

Lava Lava Alalamika Kufanyiwa Fitina na Wasanii Wenzake

Msanii wa Bongo Fleva Lava Lava amefunguka kwa hisia kupitia ukurasa wake wa Instagram akidai kuwa yeye ndiye msanii pekee anayeongoza kwa kufanyiwa fitina kila mara anapotoa kazi mpya. Kupitia ujumbe wake wa moja kwa moja, Lava Lava alisema mara nyingi nyimbo zake hukumbana na vikwazo vinavyowekwa na wasanii wenzake, lakini akasisitiza kwamba hali hiyo […]

Read More
 Lava Lava Atangaza Ujio wa EP Mpya ‘Time’

Lava Lava Atangaza Ujio wa EP Mpya ‘Time’

Msanii nyota wa Bongofleva, Lava Lava, ametangaza rasmi ujio wa Extended Playlist (EP) yake mpya inayotarajiwa kuachiwa Ijumaa hii. Kazi hiyo mpya, inayokwenda kwa jina la Time, imebeba jumla ya nyimbo sita za moto, ikiwa na kolabo mbili za kuvutia kutoka kwa wasanii Yammi na Bill Nass. EP hii inakuwa kazi yake ya kwanza tangu ajiondoe […]

Read More
 Lava Lava Apata Ubalozi Wake wa Kwanza Tangu Kuondoka WCB

Lava Lava Apata Ubalozi Wake wa Kwanza Tangu Kuondoka WCB

Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Lava Lava, ametangaza rasmi mkataba wake wa kwanza wa ubalozi tangu alipoondoka kwenye lebo ya WCB Wasafi. Msanii huyo sasa ni balozi wa kampuni ya kuuza magari ya Khushi Motors Tanzania. Akizungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi rasmi wa yard ya kampuni hiyo, Lava Lava alisema amefurahia kushirikiana […]

Read More
 LAVA LAVA ATANGAZA UJIO MPYA,OKTOBA 23

LAVA LAVA ATANGAZA UJIO MPYA,OKTOBA 23

Msanii wa bongofleva kutoka WCB, Lava Lava ametangaza kuja na project mpya, Oktoba 23, mwaka wa 2021. Lava Lava ambaye hivi karibuni amefuta picha zake zote kwenye ukurasa wake wa Instagram, amechapicha ujumbe kuhashiria Oktoba 23, mwaka huu atakuwa na kitu. Ikumbukwe mwimbaji huyo ambaye mwaka huu ameachia  EP iitwayo ‘Promise’, tayari alitangaza kukamilika kwa […]

Read More