Lebron James aendelea kumuenzi Take Off
Nyota wa mpira wa kikapu ulimwenguni Lebron James maarufu kama King James ameendelea kumuenzi aliyekuwa rapa kutoka kundi la Migos, Take Off aliyefariki Novemba 1 mwaka huu. Kupitia ukurasa wake wa Instagram King James ameandika “Kama unanifahamu basi unajua kiasi gani nilimpenda Take Off, kwangu bado siamini kama ni kweli hatupo naye!” Nyota huyo wa […]
Read More