LEILA KAYONDO AKANUSHA KUTOKA KIMAPENZI NA SK MBUGA

LEILA KAYONDO AKANUSHA KUTOKA KIMAPENZI NA SK MBUGA

Mwanamuziki kutoka uganda Leila Kayondo na bwenyenye SK Mbuga walikuwa wapenzi mwaka wa 2012 hadi 2015 walipovunja mahusiano baada ya kuingia kwenye ugomvi mkali. Leila alimtuhumu SK kwa kumnyanyasa kijinsia kwa kumshushia kipigo kila mara na akaamua kumuacha kabisa. Lakini cha kushangaza amejitokeza sasa na kudai kwamba hakuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na bwenyenye huyo ikizingatiwa […]

Read More