LEO KATIKA HISTORIA NOVEMBA 13, ALIZALIWA ALIYEKUWA NGULI WA MUZIKI WA RUMBA KUTOKA CONGO TABU LEY ROCHEREAU

LEO KATIKA HISTORIA NOVEMBA 13, ALIZALIWA ALIYEKUWA NGULI WA MUZIKI WA RUMBA KUTOKA CONGO TABU LEY ROCHEREAU

Siku kama ya leo Novemba 13 mwaka wa 1937 alizaliwa aliyekuwa mwanazumiki tajika wa Rumba kutoka Jamhuri ya Demokrasi ya Congo, Tabu ley Rochereau. Jina lake halisi ni Pascal Emmanuel Sinamoyi Tabu, na alizaliwa huko Bandundu Jamhuri ya Demokrasia ya Congo ambako alianza maisha yake ya muziki mwaka wa 1959 akiwa na kundi maarufu la […]

Read More