LEO KATIKA HISTORIA NOVEMBA 14, ULIMWENGU HUADHIMISHA SIKU YA KISUKARI DUNIANI.
Siku kama ya leo Novemba 14 kila mwaka ulimwengu huadhimisha Siku ya Kisukari Duniani kwa lengo la kuongeza mapambano na kubadilishana uzoefu baina ya wadau. Takwimu za Shirika la Afya Duniani za mwaka 2015 zinakadiria kuwa watu milioni 415 wanaugua ugonjwa huu, idadi hii inatarajiwa kufikia milioni 642 ifikapo mwaka 2040 kama hatua za kukabiliana […]
Read More