LEO KATIKA HISTORIA NOVEMBA 15, ALIZALIWA ALIYEKUWA RAIS WA KENYA, MWAI KIBAKI
Siku kama ya leo Novemba, 15 mwaka wa 1931 alizaliwa aliyekuwa rais wa tatu wa Kenya Emilio Mwai Kibaki katika eneo bunge la Othaya, Kaunti ya Nyeri. Safari ya kisiasa ya Bwana Kibaki ilianza mwaka wa 1963 alipochaguliwa kama mbunge wa Doonholm jijini Nairobi kupitia chama cha KANU. Eneo bunge hilo lilibadilishwa jina na kuitwa […]
Read More