LEO KATIKA HISTORIA NOVEMBA 4, ALIZALIWA NGULI WA MUZIKI WA HIPHOP KUTOKA MAREKANI, P. PIDDY.
Siku kama ya leo novemba 4 mwaka wa 1969 alizaliwa staa wa muziki wa Hiphop kutoka Marekani, P. Diddy. Jina lake halisi ni Sean John Combs na alizaliwa huko Mount Vermon jijini New York, nchini Marekani ambako alianza kujihusisha na masuala ya muziki alipokuwa chini ya mwavuli wa Uptown Reconds klabu ya kuanzisha lebo yake […]
Read More