Msanii Levixone Amefunguka Sababu za Kukatiza Honeymoon na Desire Luzinda

Msanii Levixone Amefunguka Sababu za Kukatiza Honeymoon na Desire Luzinda

Msanii wa injili maarufu, Levixone, amefunguka sababu za yeye na mkewe mpya Desire Luzinda kukatiza honeymoon yao mapema, jambo lililowashangaza mashabiki waliotarajia waende kwenye mapumziko ya kifahari baada ya harusi. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni, ameeleza kuwa sababu kuu ni ratiba ngumu ya kazi. Levixone alisema mara tu baada ya ndoa alikuwa na mialiko mingi […]

Read More
 Wasanii wa injili Uganda waeleza kwanini tamasha la Levixone halikuvutia umati mkubwa

Wasanii wa injili Uganda waeleza kwanini tamasha la Levixone halikuvutia umati mkubwa

Wanamuziki wa Injili kutoka nchini Uganda wamefunguka Kwanini Tamasha la msanii mwenzao Levixone halikupata mapokezi mazuri huko Kololo Airstrip wikiendi iliyopita. Kulingana na Justine Nabbosa, waimbaji wa nyimbo za injili hawapati upendo wa kutosha na uungwaji mkono kutoka kwa baadhi ya waumini wa kikristo. “Matamasha yetu hayavutii umati mkubwa  kwa sababu Wakristo hawatusaidii. Siku zote […]

Read More
 SAKATA LA NDOA YA MSANII LEVIXONE NA DESIRE LUZINDA LACHUKUA SURA MPYA

SAKATA LA NDOA YA MSANII LEVIXONE NA DESIRE LUZINDA LACHUKUA SURA MPYA

Msanii aliyegeuki muziki wa Injili nchini Uganda Desire Luzinda inadaiwa kuwa hajafunga ndoa na mwimbaji mwenzake Levixone kwa nia njema kwani anamtumia kwa ajili ya kupata msaada wa kifedha kutoka kwa wafadhili. Chanzo cha karibu na mrembo huyo kinasema kipindi Desire anaanzisha wakfu wake Desire Luzinda Foundation alijaribu kuomba msaada kwa kanisa ambalo anashiriki nchini […]

Read More