Socialite Liebe Kiki Awaonya Wasichana Wanaotaka Kujichubua: “Hakikisha Una Pesa ya Kutosha”

Socialite Liebe Kiki Awaonya Wasichana Wanaotaka Kujichubua: “Hakikisha Una Pesa ya Kutosha”

Socialite maarufu Liebe Kiki ametoa ushauri kwa wasichana wanaotamani kujichubua ngozi, akisema kuwa mchakato huo ni wa gharama kubwa na unahitaji maandalizi ya kifedha ya kutosha. Kupitia video iliyosambaa mitandaoni, Liebe Kiki alisema kwamba kujichubua si jambo la mchezo na ni lazima mtu awe na uwezo wa kifedha wa kuendeleza matunzo ya ngozi kwa muda […]

Read More