“Kifo cha PNB Rock kimenifanya niwe muoga”- Asema Lil Baby
Rapa Lil Baby amefunguka na kusema kuwa baada ya kupata habari za kifo cha rapa mwenzake Pnb Rock kilichotokea Septemba 12 mwaka huu, amekuwa muoga hata wa kutoka nje. Kupitia mahojiano aliyoyafanya na complex, Lil Baby amesema “Imekuwa kama simu ya kuniamsha, sio kwamba sijui kuna matukio kama hayo ila taarifa za kifo cha Pnb […]
Read More