Lil Nas X Afunguka Baada ya Kukamatwa Akiwa Uchi LA

Lil Nas X Afunguka Baada ya Kukamatwa Akiwa Uchi LA

Msanii nyota wa Marekani, Lil Nas X, amejitokeza kupitia Instagram siku chache baada ya kukamatwa usiku mjini Los Angeles akiwa uchi na kudaiwa kushambulia polisi. Katika ujumbe wake wa kwanza kwa mashabiki tangu tukio hilo, Lil Nas X amewahakikishia kwamba yuko salama. Hata hivyo, msanii huyo pia amekiri kuwa siku nne zilizopita zimekuwa za kutisha, […]

Read More